Uchaguzi 2020 Mrisho Gambo hana utani na Ubunge, awatembelea wapiga kura ambao ni wanywaji wa mbege!

Uchaguzi 2020 Mrisho Gambo hana utani na Ubunge, awatembelea wapiga kura ambao ni wanywaji wa mbege!

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wote ni Wapiga Kura

Mtaa kwa Mtaa
Nyumba kwa nyumba
Chumba kwa Chumba
Hadi kieleweke

FB_IMG_16013882364370652.jpg
FB_IMG_16013882210744721.jpg
FB_IMG_16013882090632321.jpg
 
Nitakuja ku update huu uzi baada ya tarehe 28 mrisho gambo anashinda
 
Haina shida, ndo sera zao hao, wengine nimeona wanaosha masufuria, wengina wanachambua mchele wengine wanasaidia kubeba masufuria ya mamalishe, wengine wanaosha wadada kucha. hizi kampeni ziongezwe muda tutashuhudia vituko vya kutosha
 
Asihangaike ,asipotezee hela zake arusha asahau kabisa
 
Duh nina mwaka sasa sijawahi kut....omb mademu wa hapo maana hapo wanakuwaga wale makonki ambau hujiuza usiku na mchana wamechoka mbaya
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nisamehe nimekukumbusha
 
Songa mbele Gambo
Asonge mbele kwenda wapi? Mbona Matejoo alipokuwa anatuma mapolisi kila siku kwenda kuwapiga na kuwakamata hajafika akawaunge mkono wauza mirungi na wanywa Gongo. Arusha ngumu Mjomba sio ya kichwa kichwa.
 
Back
Top Bottom