mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,013
- 10,000
Tena Leo kajipenswkwza kupiga picha na Lema,amvizia siku nyingi ili wakutane naye na apige picha,anadhani ni bahati kupiha picha na Lema.Ande kwao pwani akasubili viti maalumu japo mzee alishamtumbua.Asonge mbele kwenda wapi? Mbona Matejoo alipokuwa anatuma mapolisi kila siku kwenda kuwapiga na kuwakamata hajafika akawaunge mkono wauza mirungi na wanywa Gongo. Arusha ngumu Mjomba sio ya kichwa kichwa.