------
Sep 16, 2026 Makonda alizikataa jezi mpya za Taifa Stars kupitia ukurasa wake wa Instagram akidai kuwa ziko chini ya kiwango . "Acheni kutumia picha za Naibu wangu huku ofisi yangu haina taarifa. Tuheshimiane,”
Pia soma: Makonda azikataa jezi mpya za Taifa Stars. Adai ziko chini ya kiwango na kung'aka "Tuheshimiane"