Ila huyu alivyonyooshwa nilifurahi sana, alimtesa Lema nae yakamrudiaJapo mie najua ishu ya jezi makonda kazingua, ila tunajua nyie wawili mna bifu..
Shetani hana rafiki..Ila huyu alivyonyooshwa nilifurahi sana, alimtesa Lema nae yakamrudia
Dongo la kitoto kabisa!Hili ni dongo Kwa mtu fulani😂😂
Huo mkoa sijawahi kuuelewa kabisaArusha ni mabifu kuanzia viongozi wa juu Hadi watu wa kitaa.
Kila kitu ngumi jiwe
Kakosa mamlaka TU ila jamaa,ana sasampa za kutoshaDogo alipokua na madara alikua kiburi sana huyu……… kakutana na muhuni mwenzie kampoteza mazimaaaa