Pre GE2025 Mrisho Gambo: Lema aliniomba nimsaidie kuingia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Anaongea ongea kama mtoto wa kike na vimikono vyake. Bwana Gambo hii siasa nyepesi sana rudi studio ukajipange upya
 
Yaani kujiunga ccm ni lazima ukaombewe na mtu? Hicho chama kinachopita kulazimisha hadi wanafunzi wajiunge nacho ndio cha kusubiri hadi Gambo akuombee? Makonda amekwenda Arusha na amshaamsha zake, lakini linapokuja suala siasa hao wananchi ni waelewa na wanamsimamo.
 
My gut feeling: CCM cadres are congenitally liars: full stop.

Kwao kusema uongo si dhambi

If you believe on this then you will believe in everything
You are right. Yaani Lema atake kujiunga CCM, halafu amfuate Gambo amsaidie. Kama ni ombi, Lema angefuata watu wakubwa kama kina Bashiru na na siyo Gambo.
 
Anatafuta namna ya kusikika. Yeye na Bashite kwanza haziivi. Mwakani ana hali ngumu sana.
 
Gambo apambane na hali ya kutokupendwa CCM Arusha. Asisumbue watu kwa matatizo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…