Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
Huna ndugu, jamaa, rafiki, jirani mwana Sisiemu?Usimwamini mwana CCM yyte.wacha walane wenyewe kwa wenyewe tu.
KAZI ni kipimo cha utu
Huwezi kupata amani bila kurekebisha palipo na makosa, wacha warekebishaneKuwa mzalendo acha kushabikia Ugomvi.....tuwe watetezi wa amani kwa pamoja
Leo jukwania kampandisha mama yake mkewe etcKila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake. Ni swala la muda tu.
Mkuu, uko na mwanasheria? I mean wanasheria (as in plural, many of them!)Kiufupi Gambo anakiri kuwa wote wameumiza wengi lakini Bashite kaumiza watu wengi zaidi na kwa kiwango kikubwa.
Kwa hiyo Mh Gambo yeye hajapinga kuumiza?
Ooh sasa si useme hivyo kuliko inasema kiwake tuHuwezi kupata amani bila kurekebisha palipo na makosa, wacha warekebishane
Jua kwamba mbele kuna neema.Sijui hata nataka kusema nini
Lakini mlikofika ni kubaya sana
Mlishazoea kuwafanyia hivyo chadema sasa leo mnafangiana ninyi kwa ninyi
Ndo kuwaka kwenyewe hukoOoh sasa si useme hivyo kuliko inasema kiwake tu
Kwanini wauliza hivyo?!Mkuu, uko na mwanasheria? I mean wanasheria (as in plural, many of them!)
Naona kafanya mlingano mwenzake kaumiza zaidiKwa hiyo Mh Gambo yeye hajapinga kuumiza?
Anasapoti ya kifua kipanaKama Makonda alishindwa kumuondoa Ndungulile Kigamboni,sidhani kama ataweza kwa Gambo.
Arusha ni ngumu sana kwake.
Tutaona kila rangi mwaka huu!Kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake. Ni suala la muda tu.
subiri dawa iingie kwanza!Kuwa mzalendo acha kushabikia Ugomvi.....tuwe watetezi wa amani kwa pamoja
HAKIKAHuyo Gambo na yule zero brain wote matapeli tu.
Hatutoi focus kwenye agenda kuu za no reforms no election na hoja na maagizo ya bunge la ulaya.
Hao matapeli ni wa kupuuzwa kwa sasa.