PreGE2025 Mrisho Gambo: Mimi na yeye nani ameumiza wengi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ukishakuwa CCM automatically unakuwa ni mchafu kwa sababu umejiunga na kitu kichafu...
 
Safi sana !
Ngoja Tusubiri tuone na yeye ataleta nyuklia gani au ndio Gambo ameshajitengenezea Deterrence kwa Adui zake ??!!

Time will tell ! Hii ngoma bado mbichi 😳 !
 
Gambo mbona anakonda uso tu maji yanazidi unga wanapoelekea hawa watu bado kutekana tu
 
Chama Chao kina watu wazima wenye akili na weledi kama wanavyosema, mpaka leo wanashindwa kutatua hii changamoto ya vijana wao. Matokeo yake kila siku malalamiko mapya!!
 
Upepo umeanza kuvuma,nyeti za kuku zimeanza kuonekana
 
Kama Makonda alishindwa kumuondoa Ndungulile Kigamboni,sidhani kama ataweza kwa Gambo.
Arusha ni ngumu sana kwake.
Ya Kigamboni kama hujui nani alisimamia lile jambo, basi hujui mizengwe ya chama chao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…