technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Ukiona mama analia mmewe amekamatwa siku ya 7 leo kwa amri ya mkuu wa mkoa Arusha wakati makosa yake hayajulikani ni jambo la kuhoji naomba sana Mrisho Gambo mpeleke mahakamani huyo kada wa ccm apo Arusha unayeshikiliwa bila kujua hatima yake wakati OCD anasema ni maagizo yako.