Mrisho Gambo, Mpeleke Mahakamani basi unayemshikilia

Mrisho Gambo, Mpeleke Mahakamani basi unayemshikilia

Mrisho Gamba Hugo kada wa chama cha mataga , naomba usimwachie ...makada wa ccm wamezid ubakaji.
 
Duh! Jamaa halafu anaumwa kisukali ajanywa dawa wiki sasa
 
Jina langu halisi na email adress au nifafanulie tafadhali na huyo active namuomba au usikwazike na maswali yangu!
Huwa sikwaziki na maswali Ndugu, scan kitambulisho chako then kitume kwa Active au ile email ya support, nadhani itapatikana chini mwa thread Kabisa pale kwenye contact
 
Ukiona mama analia mmewe amekamatwa siku ya 7 leo kwa amri ya mkuu wa mkoa Arusha wakati makosa yake hayajulikani ni jambo la kuhoji naomba sana Mrisho Gambo mpeleke mahakamani huyo kada wa ccm apo Arusha unayeshikiliwa bila kujua hatima yake wakati OCD anasema ni maagizo yako.
Mkuu si uende pale ofisini kwake ukamwambiw!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona mama analia mmewe amekamatwa siku ya 7 leo kwa amri ya mkuu wa mkoa Arusha wakati makosa yake hayajulikani ni jambo la kuhoji naomba sana Mrisho Gambo mpeleke mahakamani huyo kada wa ccm apo Arusha unayeshikiliwa bila kujua hatima yake wakati OCD anasema ni maagizo yako.
Nashauri huyo kada wa CCM apewe kesi ya uhujumu uchumi kama tito magoti na theo

Sent using Soviet T-72 Main Battle Tank
 
Back
Top Bottom