Pre GE2025 Mrisho Gambo ni Rais ajaye

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwani toka achaguliwe kuwa mbunge wa Arusha ameshafanya nini?

Arusha chini ya G. Lema iliweza kujenga yafuatayo
-Barabara za lami Arusha CDA yote.
  • Barabara za lami Kata zilizopo pembezoni na mji
  • Miradi ya maji
-Shule za Kata
-Hospitali ya wilaya na vituo vya afya mfano Levolosi, Ngarenaro, elerai nk.
  • Mipango ya Masoko ya kisasa.
  • Mipango ya standi ya kisasa ya mabasi ya Mikoani.

Ila toka Gambo aingie madarakani naona kama Arusha imesaulika na hakuna tena zile amsha amsha za maendeleo
 
Ana advance diploma ya information technology ya institute account Arusha iaa

Hana material ya kuwa rais ubunge utakoma.2025 na hapo akajiajiri Kama mwezake gpsoni
Waliopata ubunge kwa upepo wa vurugu za Jpm 2020 hawatoboi 2025
 
Shida yake mlipa visasi kwaa hilo tu hafai kuwa raisi
 
Ataje list yote maana kuna baadhi amewahifadhi
 
Namsifu mkongwe Jenerali Ulimwengu kwa kusema ukweli wake bila kupepesa macho. Hii inatupa tahadhari kuwa makini sana kama taifa kabla ya kumpa madaraka mtu yeyote ya kuongoza taifa.
Jee wewe una maoni gani? Au nani alaumiwe kwa chaguo hilo bovu?
 
Wajinga Jamii forum wanaongezeka kwa kasi ya kutisha!
 
Nakubaliana na wewe kwasababu ya kiimani kwamba Mungu anaweza kumpa yeyote amtakaye. Yaani hata Mwijaku au Bernard Morrison au hata Ashura wa Tabata.
 
Nakubaliana na wewe kwasababu ya kiimani kwamba Mungu anaweza kumpa yeyote amtakaye. Yaani hata Mwijaku au Bernard Morrison au hata Ashura wa Tabata.
Mungu humpa mpinga ufisadi
 
Kwanza tuanze na yeye kushinda uchaguzi kihalali kitu ambacho hajaweza mpaka sasa kabla ya kuongelea mengine.
 
Kwanza tuanze na yeye kushinda uchaguzi kihalali kitu ambacho hajaweza mpaka sasa kabla ya kuongelea mengine.
Kuna kesi mahakamani ya kupinga ushindi wake?
Ni bora ukaficha ujinga wako
 
Kuna kesi mahakamani ya kupinga ushindi wake?
Ni bora ukaficha ujinga wako

Uchaguzi wote wa 2020 haukuwa halali yaani hata vyombo vya kimataifa vimesema hivyo. Kama ni kesi ni kufungua kesi zaidi ya 200! Kwa mahalama ambayo inachukuwa mpaka miaka 4!!.

Wenyewe wa Arusha tunajua hajashinda.
 
Kwanza nishike kichwa kwa masikitiko, kenge awe raisi, ni mjivuni, mpenda sifa, mlafi kkama walivyo viongozi woote wa tz, mtarajie mabaya zaidi na zaidi
 
Mpare akishavuta bangi utamjua tu.!
 
Ana advance diploma ya information technology ya institute account Arusha iaa

Hana material ya kuwa rais ubunge utakoma.2025 na hapo akajiajiri Kama mwezake gpsoni
He! Kumbe degree Bado? Naskia Dr Pima alkua mwalimu wake, [emoji855]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…