Eddo Sambai
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 2,377
- 1,861
Kwani toka achaguliwe kuwa mbunge wa Arusha ameshafanya nini?
Arusha chini ya G. Lema iliweza kujenga yafuatayo
-Barabara za lami Arusha CDA yote.
-Hospitali ya wilaya na vituo vya afya mfano Levolosi, Ngarenaro, elerai nk.
Ila toka Gambo aingie madarakani naona kama Arusha imesaulika na hakuna tena zile amsha amsha za maendeleo
Arusha chini ya G. Lema iliweza kujenga yafuatayo
-Barabara za lami Arusha CDA yote.
- Barabara za lami Kata zilizopo pembezoni na mji
- Miradi ya maji
-Hospitali ya wilaya na vituo vya afya mfano Levolosi, Ngarenaro, elerai nk.
- Mipango ya Masoko ya kisasa.
- Mipango ya standi ya kisasa ya mabasi ya Mikoani.
Ila toka Gambo aingie madarakani naona kama Arusha imesaulika na hakuna tena zile amsha amsha za maendeleo