Pre GE2025 Mrisho Gambo ni Rais ajaye

Pre GE2025 Mrisho Gambo ni Rais ajaye

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo ameonyesha siyo mnafiki na yuko tayari kukataa hongo hata kama hiyo rushwa anapewa na viongozi wake wa chama.
Kitendo cha kuanika hadharani ufisadi uliokuwa unafanywa na mkurugenzi wa jiji la Arusha pamoja na katibu wa ccm ni cha kijasiri mno na upekee wa hali ya juu sana , kumbuka waziri mkuu Kassim Majaliwa amethibitisha ufisadi huo kwa kuwasimamisha kazi wahusika na kuiagiza Takukuru iingie mzigoni mara moja .

Kama ilivyo ada ili nchi iendelee ni lazima iongozwe na mtu ambaye siyo mnafiki na msema kweli daima , Mrisho Gambo ameonyesha hilo kwa uwazi kabisa, na kuwa Tanzania ina vijana wengi wa hovyo wapenda ufisadi basi tutarajie kuona Gambo akianza kupigwa vita na kushambuliwa mfululizo licha ya uzalendo wake alioufanya kwa taifa.

Nasihi Mrisho Gambo apewe ulinzi maalum ili mafisadi wasimsababishia shida kwani ameonyesha ni kiongozi mzuri anayeweza kuja kuwa Rais wa nchi yetu.
Nan kakwambia tunatafuta Rais?

Tunatafuta KATIBA mpya Ili ije ituletee Rais tumtakaye.

KATIBA mpya kwanza. Ameeeen.
 
Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo ameonyesha siyo mnafiki na yuko tayari kukataa hongo hata kama hiyo rushwa anapewa na viongozi wake wa chama.
Kitendo cha kuanika hadharani ufisadi uliokuwa unafanywa na mkurugenzi wa jiji la Arusha pamoja na katibu wa ccm ni cha kijasiri mno na upekee wa hali ya juu sana , kumbuka waziri mkuu Kassim Majaliwa amethibitisha ufisadi huo kwa kuwasimamisha kazi wahusika na kuiagiza Takukuru iingie mzigoni mara moja .

Kama ilivyo ada ili nchi iendelee ni lazima iongozwe na mtu ambaye siyo mnafiki na msema kweli daima , Mrisho Gambo ameonyesha hilo kwa uwazi kabisa, na kuwa Tanzania ina vijana wengi wa hovyo wapenda ufisadi basi tutarajie kuona Gambo akianza kupigwa vita na kushambuliwa mfululizo licha ya uzalendo wake alioufanya kwa taifa.

Nasihi Mrisho Gambo apewe ulinzi maalum ili mafisadi wasimsababishia shida kwani ameonyesha ni kiongozi mzuri anayeweza kuja kuwa Rais wa nchi yetu.
Hata kujikomboa kuwe na TBS
 
CCM mmeishiwa kabisa kama na hizi bata mnafikiria kizipa Urais.
 
Nasikia wanamsaka kwa lotion

[emoji1]
Eti rais we unavituko sana huyo mtoto wa ilala umempa kik tu

Ova

sio lotion wamebadilisha watatumia vilainishi vya injini wana kikundi wapo wengi mpaka wamalize wote kuepuka kuisha haraka
IMG_0311.jpg
 
Back
Top Bottom