Kinyungu
JF-Expert Member
- Apr 6, 2008
- 19,484
- 38,416
Ndiyo maana yote yako ccm na ndiyo yanawaongozea nchi. Hakuna sehemu ya kupata mafisadi hapa nchini zaidi ya ccmIla mnahitaji mafisadi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana yote yako ccm na ndiyo yanawaongozea nchi. Hakuna sehemu ya kupata mafisadi hapa nchini zaidi ya ccmIla mnahitaji mafisadi
Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo ameonyesha siyo mnafiki na yuko tayari kukataa hongo hata kama hiyo rushwa anapewa na viongozi wake wa chama.
Kitendo cha kuanika hadharani ufisadi uliokuwa unafanywa na mkurugenzi wa jiji la Arusha pamoja na katibu wa ccm ni cha kijasiri mno na upekee wa hali ya juu sana , kumbuka waziri mkuu Kassim Majaliwa amethibitisha ufisadi huo kwa kuwasimamisha kazi wahusika na kuiagiza Takukuru iingie mzigoni mara moja .
Kama ilivyo ada ili nchi iendelee ni lazima iongozwe na mtu ambaye siyo mnafiki na msema kweli daima , Mrisho Gambo ameonyesha hilo kwa uwazi kabisa, na kuwa Tanzania ina vijana wengi wa hovyo wapenda ufisadi basi tutarajie kuona Gambo akianza kupigwa vita na kushambuliwa mfululizo licha ya uzalendo wake alioufanya kwa taifa.
Nasihi Mrisho Gambo apewe ulinzi maalum ili mafisadi wasimsababishia shida kwani ameonyesha ni kiongozi mzuri anayeweza kuja kuwa Rais wa nchi yetu.
Niraisi wanyumbani kwako na ndugu zakoMbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo ameonyesha siyo mnafiki na yuko tayari kukataa hongo hata kama hiyo rushwa anapewa na viongozi wake wa chama.
Kitendo cha kuanika hadharani ufisadi uliokuwa unafanywa na mkurugenzi wa jiji la Arusha pamoja na katibu wa ccm ni cha kijasiri mno na upekee wa hali ya juu sana , kumbuka waziri mkuu Kassim Majaliwa amethibitisha ufisadi huo kwa kuwasimamisha kazi wahusika na kuiagiza Takukuru iingie mzigoni mara moja .
Kama ilivyo ada ili nchi iendelee ni lazima iongozwe na mtu ambaye siyo mnafiki na msema kweli daima , Mrisho Gambo ameonyesha hilo kwa uwazi kabisa, na kuwa Tanzania ina vijana wengi wa hovyo wapenda ufisadi basi tutarajie kuona Gambo akianza kupigwa vita na kushambuliwa mfululizo licha ya uzalendo wake alioufanya kwa taifa.
Nasihi Mrisho Gambo apewe ulinzi maalum ili mafisadi wasimsababishia shida kwani ameonyesha ni kiongozi mzuri anayeweza kuja kuwa Rais wa nchi yetu.
mimi nadhani JENERALI LENGAI OLE SABAYA ndie Rais ajae,au ETWEGE unasemaje [emoji1787][emoji1787]nakukumbusha tu kwamba karudishwa Jela Kisongo kutoka Karanga,Moshi,Rufaa ya Jamhuri inarindima mfululizo[emoji3][emoji3]hakika What Goes Around Comes AroundWivu tu unakusumbua
Hahahaha "chochi" YANI mecheeka sana. Sabaya awe rais?? Na gambo?? Yaan nimecheka snamimi nadhani JENERALI LENGAI OLE SABAYA ndie Rais ajae,au ETWEGE unasemaje [emoji1787][emoji1787]nakukumbusha tu kwamba karudishwa Jela Kisongo kutoka Karanga,Moshi,Rufaa ya Jamhuri inarindima mfululizo[emoji3][emoji3]hakika What Goes Around Comes Around
Kuna siku mtayakana maandishi yenuNasihi Mrisho Gambo apewe ulinzi maalum ili mafisadi wasimsababishia shida kwani ameonyesha ni kiongozi mzuri anayeweza kuja kuwa Rais wa nchi yetu.
Na Lisu amehama kwake na kukimbilia mukuyenge wa amsterdamGambo huyu aliyehama nyumbani kwake kuogopa condom na losheni? Yaani kaamka asubuhi kakuta wajuba wameshamaliza kazi.
Etwege usihamisha magoli hapa tunamjadili Gambo aliyeutangazia umma juzi kati hapa kuwa kuna makada wa ccm na watu wa serikali wanamtafuta wamle na kweli wamefanikiwa kumtafunaNa Lisu amehama kwake na kukimbilia mukuyenge wa amsterdam
Mipumbavu bado inaota ndoto kuwa Magufuli atafufuka. Hovyo kabisa1. Lissu na Lema wameendelea kulelewa na wazungu maana yake walisingizia kwamba wamekimbia sababu ya Magufuli.
2. Igizo la Corona limeisha kama alivyotabiri Magufuli
3. Ndege tulizoambiwa na Zito Kabwe kwamba Magufuli amenunua mitumba mpaka leo zinapiga kazi vizuri sana
4. Tanzania haijashutakiwa MIGA kama alivyotabiri Tundu Lisu
5. Mpaka sasa hamna ufisadi wowote aliofanya Magufuli ulioibuliwa na waliomchukia
6. Baada ya waliotumbuliwa na Magufuli kurudishwa Serikalini ,utendaji wa serikali umezorota sana, hivyo kuwafanya wananchi wagundue kumbe Magufuli hakuwa anamuonea mtu.
7. Baada ya Magufuli kuondoka Tanzania imeporomoka uchumi wa