Pre GE2025 Mrisho Gambo: Nitaenda kuwajibu nini wananchi wa Arusha. Jiji kama Arusha linakosaje stendi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni wazi sasa Mrisho Gambo ameanza kuchachawa na kukumbuka shuka kukiwa kunakucha.

Ameng’aka bungeni dhidi ya serikali kwa kuhoji kuwa ataenda kuwaambia nini wapiga kura wake wa Arusha mjini kwa Jiji kubwa la Arusha kukosa stendi bora na ya kisasa kama mikoa mingine.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Siku zote hizo alikuwa wapi? Anaona uchaguzi unakaribia anaanza kutoa mapovu na kutia huruma.

Hakika Gambo ni kama ameanza kutapatapa na kwa ushauri mzuri, atafute kazi nyingine tu ya kufanya! Bashite kashammaliza

Wajibu kama nyie tayari mmeshashinda na tena sii kwa bunduki,ila kwa kula.
 
Lema aliwajengea stendi alipokuwa Mbunge wenu?
Huyo Gambo aache siasa za kitapeli, maendeleo hayaletwi na mbunge balo wananchi kupitia kodi zao, serekali ndio inawajibika kujenga stand kutoka kwenye kodi za wananchi. Isitoshe hakuna mwananchi anasubiri aelezwe kitu na Gambo maana ni mmbunge wa Magufuli na sio wananchi.
 
Yaani hata sijui umeandika nini!
 
Ni wazi sasa Mrisho Gambo ameanza kuchachawa na kukumbuka shuka kukiwa kunakucha.

Ameng’aka bungeni dhidi ya serikali kwa kuhoji kuwa ataenda kuwaambia nini wapiga kura wake wa Arusha mjini kwa Jiji kubwa la Arusha kukosa stendi bora na ya kisasa kama mikoa mingine.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Siku zote hizo alikuwa wapi? Anaona uchaguzi unakaribia anaanza kutoa mapovu na kutia huruma.

Hakika Gambo ni kama ameanza kutapatapa na kwa ushauri mzuri, atafute kazi nyingine tu ya kufanya! Bashite kashammaliza

Geneva ya Afrika isiyo ña stendi aibu ilioje hii....

Lema na kelele zote zile hakuacha stendi.....

Gambo na uzoefu wote ule wa nyuma kufanya kazi halmshauri....kuwa kiongozi wa UVCCM alishindwa kweli kushawishi ujenzi wa stendi?!!

Nakumbuka kipindi kile alipokuwa na siasa za mivutano na akina Ally Bananga Mwatiga,James Ole Millya na CCM staminaz yao ha ha ha ha...

Gambo harudi kuwa mbunge wa Arusha....harudi ng'ooooo......niko paleeee....
 
Ni wazi sasa Mrisho Gambo ameanza kuchachawa na kukumbuka shuka kukiwa kunakucha.

Ameng’aka bungeni dhidi ya serikali kwa kuhoji kuwa ataenda kuwaambia nini wapiga kura wake wa Arusha mjini kwa Jiji kubwa la Arusha kukosa stendi bora na ya kisasa kama mikoa mingine.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Siku zote hizo alikuwa wapi? Anaona uchaguzi unakaribia anaanza kutoa mapovu na kutia huruma.

Hakika Gambo ni kama ameanza kutapatapa na kwa ushauri mzuri, atafute kazi nyingine tu ya kufanya! Bashite kashammaliza

Rahisi tu.Amsingizie Lema ndiye amemkwamisha.
 
Gambo nakushauri usithubutu kigombea hata udiwani coz haitashinda pia tunza tu mshahara wako
 
Back
Top Bottom