Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Ukiyashanga ya Ngamia utayaona ya Ng'ombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahha..Nyie vijana wa Arusha mmeshampa majani yenu kijana wa kizaramo.
kweli kabisaSasa kwani uongo?
Mungu Mwenyezi unayasikia haya ya viumbe wako....Sasa kwani uongo?
Mnakufuru sasa, badala ya kurudisha Utukufu kwa Mungu nyie mnapeleka Utukufu kwa Jiwe, haya ngoja Mungu aamuru Malaika wa Mnvua aongeze kipimo Miundo Mbinu iharibike alafu tuone kama mtamkumbuka hoyo Jiwe.Sasa kwani uongo?