Mrisho Gambo (RC): Kama isingekuwa Serikali ya awamu ya 5,kamwe msingeweza kuiona Mvua ya Barafu Arusha

Mrisho Gambo (RC): Kama isingekuwa Serikali ya awamu ya 5,kamwe msingeweza kuiona Mvua ya Barafu Arusha

Hahahahahahaha duuh hii kali ya mwaka ndio maana hata sisi watu wa Mbozi tunashukuru kuleta Kupatwa kwa jua hahahahah
 
Hivi mmeniona nikichangia kweli ?..Aibu aisee ,Mvua ya Mawe na Serikali wapi na wapi jamani!!🙄🙄
 
Nilipofungua nilitegemea kukutana na clip ya video au audio RC akitamka maneno hayo tajwa kumbe loh...!
 
Back
Top Bottom