Mrisho Gambo (RC): Kama isingekuwa Serikali ya awamu ya 5,kamwe msingeweza kuiona Mvua ya Barafu Arusha

progressive premise ya kauli hiyo ni kwamba isingekuwa awamu ya tano teremeko la ardhi bukoba lisingetokea wala mv nyerere isingezama kule ukara,kama kweli kasema hayo basi tunashida mahali kama taifa,hivi ni kweli RC wa mbeya wakat huo aliipongeza awamu ya tano kw sabb kupatwa kwa jua kulionekama clearly maeneo ya mbeya???
 
Inawezekana Hata ile tetemeko la Bukoba na ile ajali ya Mv Nyerere kule ukerewe tusingeona, Na hapo hatujasahau habari ya tsh 1.5T yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…