comrade wetu JF-Expert Member Joined Nov 5, 2018 Posts 964 Reaction score 605 Feb 26, 2019 #41 Hahahahahahaha duuh hii kali ya mwaka ndio maana hata sisi watu wa Mbozi tunashukuru kuleta Kupatwa kwa jua hahahahah
Hahahahahahaha duuh hii kali ya mwaka ndio maana hata sisi watu wa Mbozi tunashukuru kuleta Kupatwa kwa jua hahahahah
Wyatt Mathewson JF-Expert Member Joined Dec 22, 2017 Posts 10,432 Reaction score 25,124 Feb 26, 2019 #42 Mwanahabari Huru said: Ukiyashanga ya Ngamia utayaona ya Ng'ombe View attachment 1032568 Click to expand... Kuna watu mpaka unajiuliza akili wameacha sijui wapi! CCM buanaaaa!
Mwanahabari Huru said: Ukiyashanga ya Ngamia utayaona ya Ng'ombe View attachment 1032568 Click to expand... Kuna watu mpaka unajiuliza akili wameacha sijui wapi! CCM buanaaaa!
Ciril JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 8,557 Reaction score 7,160 Feb 26, 2019 #43 Hivi mmeniona nikichangia kweli ?..Aibu aisee ,Mvua ya Mawe na Serikali wapi na wapi jamani!!🙄🙄
gemmanuel265 JF-Expert Member Joined Feb 16, 2016 Posts 8,485 Reaction score 18,048 Feb 26, 2019 #44 Kumjadili mjinga yahitaji roho ngumu sana
Sky Eclat JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 57,761 Reaction score 216,011 Feb 26, 2019 #45 Zidumu fikra za mwenyekiti wa chama
dikir kab can JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 1,499 Reaction score 2,667 Feb 26, 2019 #46 awamu hii ukitaka mambo yakunyookee jitoe ufahamu. Sent using Jamii Forums mobile app
Mpinzire JF-Expert Member Joined Jan 18, 2013 Posts 7,503 Reaction score 13,463 Feb 26, 2019 #47 Nilipofungua nilitegemea kukutana na clip ya video au audio RC akitamka maneno hayo tajwa kumbe loh...!
Nilipofungua nilitegemea kukutana na clip ya video au audio RC akitamka maneno hayo tajwa kumbe loh...!
mbikagani JF-Expert Member Joined Dec 5, 2014 Posts 3,107 Reaction score 1,782 Feb 26, 2019 #48 Mwanahabari Huru said: Ukiyashanga ya Ngamia utayaona ya Ng'ombe View attachment 1032568 Click to expand... "Mnalalamika njaa kwani ccm inaleta mvua?"--rais Magufuli. Mwenyewe alikataa, sasa huyu mjinga anatoa wapi?
Mwanahabari Huru said: Ukiyashanga ya Ngamia utayaona ya Ng'ombe View attachment 1032568 Click to expand... "Mnalalamika njaa kwani ccm inaleta mvua?"--rais Magufuli. Mwenyewe alikataa, sasa huyu mjinga anatoa wapi?
Dhul JF-Expert Member Joined Dec 13, 2016 Posts 748 Reaction score 771 Feb 26, 2019 #49 Daaah tumuombe Mungu tu atufikishe salama kwenye hii safari yetu Mana co kwa Kufuru hizi Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah tumuombe Mungu tu atufikishe salama kwenye hii safari yetu Mana co kwa Kufuru hizi Sent using Jamii Forums mobile app
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 10,962 Reaction score 7,830 Feb 17, 2025 #50 Mwanahabari Huru said: Ukiyashanga ya Ngamia utayaona ya Ng'ombe View attachment 1032568 Click to expand... ..
Mwanahabari Huru said: Ukiyashanga ya Ngamia utayaona ya Ng'ombe View attachment 1032568 Click to expand... ..