Mrisho Gambo umehadaa wapiga kura. St. Jude ilivuka vikwazo ikiwa upande wa watesi wao

Kama alikosa huo ujasiri wakati huo, kwanini anatemea watu mate kwenye hilo bunge kibogoyo sasa wakati tatizo limeisha?
Unafahamu vipi kama hakufanya lolote? Unawafahamu washiriki wa mchakato mzima mpaka tatizo likaisha?
 
Kipindi akiwa Mkuu wa Mkoa asingeweza kutia neno kwenye lile sakata kwa sababu liliwahusu TRA angethubu kibarua kingeota mbawa
Kwa hiyo nini maana ya kiwa mkuu wa mkoa wakati boss wako anaganya Mambo ya kishetani. Kama hukubaliani na linalofanyika, jiudhuru. Huo tunauita unafiki!
 
Unaposema shule ile imesimama na inasonga mbele unamaanisha nn? Naona km ni kauli mbili zinazopingana zenyewe

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Unafahamu vipi kama hakufanya lolote? Unawafahamu washiriki wa mchakato mzima mpaka tatizo likaisha?

Tatizo limeisha baada ya jiwe kuelekea motoni, na huyu mama kutokutaka hela ya dhuluma.
 
Tatizo limeisha baada ya jiwe kuelekea motoni, na huyu mama kutokutaka hela ya dhuluma.
Hili jibu halithibitishi yeye kutokushiriki mchakato wa kujaribu kumaliza tatizo. Wamesharudishiwa hizo m500?
 
Haohao wanafiki waliompotosha mwendazake kwa nyimbo na mapambio ndio haohao wanaotaka kuonesha umma kwamba wao ndio wenye uchungu sana na nchi hii!!!
Wazalendo wachumia tumbo.
 
Namtetea Gambo

Huu mgogoro ulianza kipindi cha kampeni baada ya shule kugoma kutoa magari ya kubeba wana CCM kwenda kwenye kampeni. Baada tu ya uchaguzi wakaona joto ya jiwe.
Hapo huyo 'gamba' sijui gamble alikuwa chama kipi?
 
Katika laana iliyomuua Magu haraka sana ni kuifungia St. Jude. Unawezaje kufunga shule ya watoto yatima zaidi ya 800, watoto wa masikini wanaosoma bure kwa udhamini wa watu wa nje? Kisa? Shule ilikataa kutoa magari yake yatumike kubeba wana CCM kwenye kampeni huko Meru. Magufuli ni mtu mkatili sana yule jamaa, halaf muda wote alikuwa anajifanya anamtaja Mungu na kujifanya ana hofu ya Mungu wakati anawatesa mayatima! Wazazi masikini na wale walioachiwa wale watoto yatima walilia sana na kumlaani Magufuli, na huyo Gambo ambae alikuwepo Kama mgombea na anashiriki vikao vya CCM vya mkoa ambako figisu zote zilianzia, lakin aliufyata kimya.. aliona sahihi. Hivyo anyamaze, asubiri Karma imlipe.
 
Sasa angesemaje mbele ya kayafa akiwa hai, kayafa hakutaka kusikia kabisa haya, by the way kayafa ana mkono asilimia nyingi ile ishu ilivyotokea, na maagizo yalikua yake kayafa, fikiria wewe ndio gambo, ungefanyaje?
Nadhani ndio maana mtoa maada kuna sehemu amegusia suala la kuangalia maslahi ya familia binafsi/chache kuliko maslahi ya familia nyingi/jamii. Wamehangaishwa sana wale watoto kwa kweli.
 
Namtetea Gambo

Huu mgogoro ulianza kipindi cha kampeni baada ya shule kugoma kutoa magari ya kubeba wana CCM kwenda kwenye kampeni. Baada tu ya uchaguzi wakaona joto ya jiwe.
je alizungumza chochote au ni kutafuta fadhila tuu kwa sasa?
 
Huyo jamaa hata alivyokufa hakutaka hata kuondoka mwenyewe akaamua aondoke na familia ya mke na watoto wake wote, mume kabaki hajui kilichotokea..huyo ni mtu wa kawaida?
Sijaelewa mkuu
 
Namtetea Gambo

Huu mgogoro ulianza kipindi cha kampeni baada ya shule kugoma kutoa magari ya kubeba wana CCM kwenda kwenye kampeni. Baada tu ya uchaguzi wakaona joto ya jiwe.
Naungana na wewe mkuu
 
Kila mmoja anamjua kuwa huyu ni kibaraka wa njaa na Tumbo lake na walio karibu naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…