Mrisho Gambo umehadaa wapiga kura. St. Jude ilivuka vikwazo ikiwa upande wa watesi wao

Mrisho Gambo umehadaa wapiga kura. St. Jude ilivuka vikwazo ikiwa upande wa watesi wao

Sasa angesemaje mbele ya kayafa akiwa hai, kayafa hakutaka kusikia kabisa haya, by the way kayafa ana mkono asilimia nyingi ile ishu ilivyotokea, na maagizo yalikua yake kayafa, fikiria wewe ndio gambo, ungefanyaje?

Namtetea Gambo

Huu mgogoro ulianza kipindi cha kampeni baada ya shule kugoma kutoa magari ya kubeba wana CCM kwenda kwenye kampeni. Baada tu ya uchaguzi wakaona joto ya jiwe.
NAKUUNGA MKONO, GAMBO HAKUWA NA NAMNA KAKA KIPINDI HICHO.
 
Wakati St. Judy inapitia matatizo juu ya madeni Hadi kufikia wanafunzi kugoma na wafanyakazi kurejeshwa nyumbani Mrisho Gambo hakusema lolote Wala akuwatetea kwa chochote. Leo hii baada ya hali kutulia anaibuka Bungeni nakuzungumza huku akijua kabisa muda wa machungu umepita na Sasa shule ile imesimama na inasonga mbele.

Tunaporuhusu Taifa liwe na watu wanoangalia zaidi familia zao nakuacha familia za wengine tunaharibu Taifa. Kama aliyoyasema bungeni yalitoka moyoni alipaswa kukemea wakati watoto wanataabika. Mgogoro umeanza akiwa mkuu wa Mkoa wa Arusha, hakuna siku alisimama kunyanyua mdomo kuwatetea, alisimama na watesi ili apate kuishi.

Tusiwe wepesi kusahau, tuwapinge watu wasio na misimamo. Tuwapinge watu walioamua kuishi kwakufundishwa Cha kusema, tuwapinge watu wanaogeuza matatizo yetu kuwa mtaji wa kisiasa. Tumkatae Mrisho Gambo tukimwelekeza kusimama nasisi kwenye shida na raha bila kujali atapoteza nini.
Heee!!kweli hawa watu ni wanafiki yaani alivyolizungumzia juzi utadhania ndi kwanza limetokea kumbe , hata makovu yalishapona?!!
 
Back
Top Bottom