Mrisho Gambo umehadaa wapiga kura. St. Jude ilivuka vikwazo ikiwa upande wa watesi wao

Sasa angesemaje mbele ya kayafa akiwa hai, kayafa hakutaka kusikia kabisa haya, by the way kayafa ana mkono asilimia nyingi ile ishu ilivyotokea, na maagizo yalikua yake kayafa, fikiria wewe ndio gambo, ungefanyaje?

Namtetea Gambo

Huu mgogoro ulianza kipindi cha kampeni baada ya shule kugoma kutoa magari ya kubeba wana CCM kwenda kwenye kampeni. Baada tu ya uchaguzi wakaona joto ya jiwe.
NAKUUNGA MKONO, GAMBO HAKUWA NA NAMNA KAKA KIPINDI HICHO.
 
Heee!!kweli hawa watu ni wanafiki yaani alivyolizungumzia juzi utadhania ndi kwanza limetokea kumbe , hata makovu yalishapona?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…