Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Gambo arudishe pesa alizokua anachukua kwa wafanyabiashara wakubwa kwa amriSema Mrisho bungeni anasukuma kete vizuriii sana
Halafu eti ndio anaitwa mzalendo na shujaa wa Africa!!Mkiambiwa magufuli alikua jambazi sugu mnakataa kwa nini kikwete alivostaafu hakuna waliolia kuporwa mali zao kama kwa jamaa yenu
Kumbuka kuna wakati hata saa mbovu husema ukweli.Gambo akapimwe akili kwanza.Hata ubunge wake kaupata kwa hisani ya Magufuli.Gambo ni miongoni mwa wanafiki wakubwa ,ambao hawatakiwi kabisa.Ukimufurahia Gambo ipo siku atakugeuka na ww.Yeye si mkweli bali ni mfuata maslahi na mjinga mkubwa.
Wakati yeye ndo alikuwa anasimamia hilo zoezi kwa mbwembwe na kejeli...
Hakyamama mwendazake anachezea za uso mpaka namwonea huruma. Huyu Gambo hajui kawa mbunge kwa juhudi za udhalimu wa mwendazake?
Kitu kimoja kwa hakika, ikatokea mwendazake akafufuka, atadedi tena fasta kwa spidi ya bombardier... sio kwa unafiki huu wallah...
Kweli kabisaRais wa wanyonge hakutembeza bakuli nje, alitunyonga tu sisi wa humu ndani.