Mrisho Mpoto acha kuhutubia kwenye shughuli za Serikali, umealikwa kuimba sio kuhutubia

Mrisho Mpoto acha kuhutubia kwenye shughuli za Serikali, umealikwa kuimba sio kuhutubia

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Sijui ni uchawa au kujitoa akili.

Mpoto amepitia chuo cha sanaa Bagamoyo ila nadhani alifeli. Najua anatumia stail ya kughani majigambo katika fasihi

Kero yangu ni kwamba kwenye mikutano ya serikali badala ya kuimba yeye anahutubia kwa kutoa takwimu, hiyo sio sanaa, sanaa haina takwimu.

Usijipe kazi za mawaziri kuhutubia kwa takwimu bali tuburudishe kisanii.

Unaboa kukusikiliza

1655111802236.png
 
Unadhani aliyegundua viatu mjinga,yeye ni balozi wa nyumba ni choo ils anaebda choo cha shimo au choo cha stendi pekupeku
Hiz fiction zinawapoteza Sana, HIV unafikir mjomba anaenda chooni bila viatu, Hio ni brand. Atafanya hivyo mbele ya kamera tu
 
Back
Top Bottom