Mrisho Mpoto acha kuhutubia kwenye shughuli za Serikali, umealikwa kuimba sio kuhutubia

Mrisho Mpoto acha kuhutubia kwenye shughuli za Serikali, umealikwa kuimba sio kuhutubia

Hiz fiction zinawapoteza Sana, HIV unafikir mjomba anaenda chooni bila viatu, Hio ni brand. Atafanya hivyo mbele ya kamera tu
Nimewahi mshuhudia mpoto live alikujaga kitaan kwenye kampeni ya nyumba ni choo.
Sasa akawa anaenda toliet akavaa boot zile za mvua alipotoka choon akayavua.
So kua peku ni Sanaa tu ,tofaut na watu wanavyomfikiria
 
Nilikua nasikiiliza wimbo wake wa "njoo uchukue" inashangaza sana kabadilika mno huyu bwana.
 
Hamna kitu pale... Mwanzo ndo alikuwa vizuri lakini tangu alipoimba "safari imenishinda" kweli imemshinda
 
Hiz fiction zinawapoteza Sana, HIV unafikir mjomba anaenda chooni bila viatu, Hio ni brand. Atafanya hivyo mbele ya kamera tu
Anatufundisha nini sasa,zile ni bangi,
 
Ila CCM kuna maisha aisee uyu dingi sio mjinga kuwa chawa anacho angalia yake yanamuendea sio shida zake.
 
Hiyo ndio Think Tank ?

Kwanza kutembea peku Kuna faida gani kwa jamii yetu inayotakiwa kuzingatia maswala ya Afya.

Kwa kumwangali tu sisi wakongwe tunajua ni Saa Moja fleshi.

Hatupati taabu tunapo ona anatukana watu bila sababu. Ni Fleshi.
Records zinahifadhiwa.
 
Toka Magu atutoke sisikii hata watu bar wakiomba mziki uzimwe wasikilize taarifa ya habari Mpoto kwa Jiwe alidunda
 
Back
Top Bottom