Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

Very wise advise, this kid should know it wasn't personal, it was business, in Don Corleone voice
Kiukweli anapaswa aende tu kwenye msiba... Asahau hayo ya nyuma...

Ila pia unajua binadamu huwa hatuelewi tunataka nini.... Maana angeenda tu kwa maamuzi yake binafsi bila kuitwa ama kuambiwa... Basi angepewa jina la MNAFIKI NA MZANDIKI kama aambiwavyo Paul Makonda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakumsikia Mama yake juzi hapa alisema

Kama kwamba Diamond akienda kwenye misiba anakuwa star watu wanamlilia yeye na kuharibu misiba ya watu kwa kufanya watu walie na kuzimia.. na mengineyo aliyoyasema kumtetea..

Bora aendelee hivyo hivyo kutoenda kwenye misiba..

Mwisho wa siku atajiju..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…