King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Atume mwakilishi kama Wenzake Wenye majina Makubwa Duniani walivyotuma wawakilishi kwenye msiba wa Ruge,,....Kama Tulivyoona Lowassa,Kikwete ,Mengi walivyotuma wawakilishi wao kwenye msib wa RUGE.Hakumsikia Mama yake juzi hapa alisema
Kama kwamba Diamond akienda kwenye misiba anakuwa star watu wanamlilia yeye na kuharibu misiba ya watu kwa kufanya watu walie na kuzimia.. na mengineyo aliyoyasema kumtetea..
Bora aendelee hivyo hivyo kutoenda kwenye misiba..
Mwisho wa siku atajiju..