Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

Jide ameshafika? Ila diamond ana damu ya kunguni sana hapo anaonekana yeye tu. Siku hizi mpaka misiba mtu anakaa ana angalia nani kapost na nani kafika mitandao ya kijamii inatupeleka wapi.
Mpoto ni mnafki wa kiwango cha chato airport
 
Hivi nyerere angeenda kwenye msiba wa idd amini (kama angekuwepo wakati wa kifo) watu mngemuelewa..
Saa nyingine tuache unafiki..
Kama ulikua unamdis marehem wakati wa uhai kwa nini umpende akifa??

Kwani diamond akienda ndio ruge anaenda mbinguni??

Sent using Jamii Forums mobile app
Watakujibu mbona naniliu alienda kwenye msiba wa Marehemu Didas Masaburi na watu walichukulia kawaida tu kwamba hakuna visasi na marehemu?
 
Jide ameshafika? Ila diamond ana damu ya kunguni sana hapo anaonekana yeye tu. Siku hizi mpaka misiba mtu anakaa ana angalia nani kapost na nani kafika mitandao ya kijamii inatupeleka wapi.
Mpoto ni mnafki wa kiwango cha chato airport
Ukiwa mkubwa lawama haziishi.Hivi wewe unasema mondi mdogo wako,hivi huna namba yake ya simu ,kwa nini usmpigie ukamwambia ? au basi ili kuifanya ipendeze zaidi mfuate nyumbani kwake mwambie ana kwa ana ,ili yeye mwenyewe asiwe na sababu.

Sasa umeandika instgram akisema hajaiona ,utasemaje utamlaumu?Huu unafiki alioufanya Mpoto.
 
Hakumsikia Mama yake juzi hapa alisema

Kama kwamba Diamond akienda kwenye misiba anakuwa star watu wanamlilia yeye na kuharibu misiba ya watu kwa kufanya watu walie na kuzimia.. na mengineyo aliyoyasema kumtetea..

Bora aendelee hivyo hivyo kutoenda kwenye misiba..

Mwisho wa siku atajiju..
Hiyo kweli mwisho was Siku hili in funzo,baba yangu alinambia nililia sana siku alipokufa mpwa wangu kuliko mama yangu mzazi maana haikupita hata miaka 3 tangu tupatane na hatukuongea miaka kibao.
 
Back
Top Bottom