May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,311
- 9,027
Labda wapo waliompigia simu wakachoka ndio jamaa akaamua kujilipua.Ndiyo kabisa kwanini asimpigie simu naye anatafuta sifa, kwani lazima watu wote waende msibani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena hii ni advantage kwake hata kama alikuwa na hofu hapo awali sasa anaweza kwenda kwa mgongo wa kumsikiliza Mpoto.