huyo mzee naye akili hana, mjinga kama wajinga wengine watafuta kiki.Halafu huyu mzee naye anatafuta kiki tu..
Kama diamond ni mdogo waka inamaanisha ana namba yake..kwa nini kitu sensitive hivi akipost insta badala ya kumcheki kwenye simu akamshauri?
Sent using Jamii Forums mobile app
tena sio kidogo.Kwani asipoenda huyo chibu,ruge hatozikwa?? Kwanza yeye ni nani kwenye huo msiba,anaongeza au kupunguza nini??
Aahh,.wabongo tunaboa sometimes...!!!
it's always personalVery wise advise, this kid should know it wasn't personal, it was business, in Don Corleone voice
Imekaaje vibaya? Mbona kamuandikia kistaarabu sanaPekupeku kama mpoto kwenye hili amefell Post yake imekaa vibaya....View attachment 1034579
Rong ni wapi. Tuje kukuchukua ?huyu dogo ni fala, nilikuwa upande wake lakini naona sasa nibadilishe mtazamo kwake nilikuwa rong.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuuhamna maelezo mengine zaidi ya hayo mkuu.
Kwa kawaida maskini huwachukia maskini wenzao wakibadili status zao kutoka haves not na kuwa haves.Ahahaaaaaah...
Huyu Diamond sijui aliwalisha nini Watanganyika aisee..!?
Kuna mtu nakufananisha nae hapa mtaani kwetuHakuna mtu anaelazimishwa kwenda msibani.
Walioguswa na mchango wa ruge wameenda na wanazidi kwenda.
Mondi si kwamba ndo kaburi akikosekana ruge hatazikwa.
Kama kaamua kuto kwenda muacheni
Sent using Jamii Forums mobile app
Muulize mpoto anapambana vip na miiba
Ila akiwa jf anajifanya ana uchungu usiomithilika, kumbe ana stress zake za kupigwa vibuti na kutelekezwa mara kwa mara.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakuta mtu misiba ya ndugu zake hata haonekanagi
Sent using Jamii Forums mobile app
ndicho ulichokiona kwenye comment!?Rong ni wapi. Tuje kukuchukua ?
who said life? its personal
You will be vulnerable all the timeit's always personal
Unanifata fata kweli sijui nimekuibia nini yaniWasafi artists strolling in with their bodyguards and cameras 4 hours late so we can all see them as if this is not a funeral is very distasteful.Shame
Cc : kapeace