Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

Ahahaaaaah...
Nadhani upo msibani mama,hivyo basi ngoja nikuache uendelee na maombolezo..!
Ila kumbuka sio kila mtu huwa anaziweka hisia zake zote mitandaoni,usikute Diamond ameumizwa na huu msiba kuliko wewe unayehangaika kumtukana huku JF...
Pia,usiwapangie watu namna ya kuishi,huu ushauri umepewa na watu wengi sana kwenye huu uzi...
Nikome nyokolo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hilo ni tusi au ni sifa kwa mwanamke kureceive sperm amabayo hata mama yako alipokea za baba yako

Ajabu ni kwako unaepokea shahawa za wanaume wenzio

Ndo maana una wivu kumbe mke mwenza

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaaaaah...
Endelea kuomboleza mama,huku JF tuache sisi ambao hatujaguswa na msiba..!
 
Hakuna mtu anaelazimishwa kwenda msibani.
Walioguswa na mchango wa ruge wameenda na wanazidi kwenda.
Mondi si kwamba ndo kaburi akikosekana ruge hatazikwa.
Kama kaamua kuto kwenda muacheni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dgo diamond asikilize chorus ya craig david ft sting
Sometimes in life you feel the fight is over,
And it seems as though the writings on the wall,
Superstar you finally made it,
But once your picture becomes tainted,
It's what they call,
The rise and fall
 
Halafu huyu mzee naye anatafuta kiki tu..
Kama diamond ni mdogo waka inamaanisha ana namba yake..kwa nini kitu sensitive hivi akipost insta badala ya kumcheki kwenye simu akamshauri?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi jua jitihada za Mpoto, maana yawezekana kafanya kama ulivyopendekeza wewe lakini hakufanikiwa...na pia utambue kuwa msanii yeyote ni kioo cha jamii, maana anaweza kuikosoa, kuiharibu, kuielimisha jamii kupitia namna anavyoishi na kufanya shughuli zake.
 
Alikufa Yesu mwenye akili na mtukufu sasa kifo cha mtanzania wa kawaida ambae hata mimi niliyepo huku na beba ma boksi sijawahi kumuona kwa sura japo nimezaliwa na kukulia bongo land. why huu msiba mnataka kuufanya kama kitu so special sana aisee.
 
Back
Top Bottom