Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

Usiingilie maisha ya mtu. Kama umeona Huyo diamond hajaenda, ukienda wewe inatosha,
Pia msiba bado haujaisha ndio kwanza inaanza atakuja kwa wakat wake, kumtukana mtu, kumkejeli na vitu Kama hvyo sio busara.
Kama mpoto angekuwa mwema angempigia simu, s kuanfika Instagram huko ni kutafta kiki na uchonganishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani hamna post iliyowahi kukukereketa km hiyo?? Nimekujibu kwa kukuonyesha kuwa ligi uliyotaka kwa sasa siitaki lkn midole inakuwasha washa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaaaaah...
Nadhani upo msibani mama,hivyo basi ngoja nikuache uendelee na maombolezo..!
Ila kumbuka sio kila mtu huwa anaziweka hisia zake zote mitandaoni,usikute Diamond ameumizwa na huu msiba kuliko wewe unayehangaika kumtukana huku JF...
Pia,usiwapangie watu namna ya kuishi,huu ushauri umepewa na watu wengi sana kwenye huu uzi...
 
Back
Top Bottom