Bila kujali ugomvi wao ni nini ila Ruge ana mchango (roughly 80%) kwenye mafanikio ya Diamond..Alimshape,baadhi ya nyimbo kama Mawazo,nitarejea n.k alichangia mawazo katika kuandika..Show kubwa ya kwanza ya Diamond pale mlimani city (Diamonds are forever) organizer alikuwa Ruge,mchango mkubwa aliutoa Ruge,venue Ruge n.k, Zari all White Party ya Dar lilikuwa wazo la Ruge na ndiyo alikuwa big contributor (Sasa hapa dogo akataka wagawane pasu kwa pasu wakati aliyefanya investiment kubwa ni Ruge.
Dogo kwenye fiesta akawa anataka alipwe ten million (which is not bad kutokana na hadhi yake) but kiuhalisia angelipwa yeye peke yake 10 mil hapo bado wasanii wengine hawajalipwa,bado per diems zao,transport,bima,maandalizi ya venue,jukwaa na security,matangazo n.k na na wenye show wapate faida si ni hatari hiyo?Angeweza kuchukua 10mil kwa baadhi ya mikoa ila huwezi kukomaa kulipwa 10mil Musoma au Sumbawanga wakati entrance fee yao tu huwa inashushwa..may be kwa Dsm,Mwanza na Chuga angweza kudemand hiyo..na hiyo ndo source ya Ugomvi wao Dai akaona kama vile Ruge anambania wakati macollabo makubwa makubwa ya nje Ruge ndo alikuwa anamconnect na baadhi Ay...#okbye