Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

Mrisho Mpoto amuomba Nasib Abdul kufika kwenye msiba wa Ruge Mutahaba

Wabongo wanasubiri aende aitwe mnafki, na asipoenda aitwe ana roho mbaya.

Mtu ana maamuzi yake. Ana yake ya moyoni. Hayo maneno ya marehemu hanuniwi, ni maneno tu. Sio sheria.
Hata kama viongozi wameguswa, wewe kama hujaguswa haimaanishi unapaswa kuguswa, maana ni suala personal.

Sijaona sababu ya watu kuwa na hasira mtu fulan hajafika kwenye msiba. Hata kama ungekuwa unakuhusu moja kwa moja, kukasirika ni kujipotezea energy tu, maana haijalishi chochote. Maamuzi ya mtu ni ya mtu.


Sent using Low Frequency Electromagnetic Waves
 
Kiukweli anapaswa aende tu kwenye msiba... Asahau hayo ya nyuma...
Kwani msiba si upo bado kwa siku kadhaa? Kuna leo, kuna kesho, pia kuna Bukoba. Hivi ni lazima uhudhurie siku zote? Wewe na Mpoto mmejuaje kama Diamond hataenda msibani leo, kesho au keshokutwa?
 
huyu dogo ni fala, nilikuwa upande wake lakini naona sasa nibadilishe mtazamo kwake nilikuwa rong.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alikiba jux Vanessa mdee sheta na hao wote hawajaenda na hakuna anaejali... Lady jaydee hajapost chchte hakuna anaemtukana... Hao wote wamepita kweny mikono ya ruge..! Diamond tu ndo anaesakamwa na kuchonganishwa.. Hapo mwili bado haujazikwa.. imewekwa taswira kanakwamba diamond kafurahia kifo cha ruge which is not true..! Watu wanagomban lakin hawaombeani vifo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani akienda na asipoenda kinabadilika nini?? Hao watakaoenda mbona wanatosha na kuzidi!
 
Why diamond?
Watanzania jifunzeni kuheshimu utashi wa mtu.
Kuna mtu pia anakushangaa wewe unayetoka povu kuhusu Diamond ila kaamua kuheshimu utashi wako na kukaa kimya wa kwa nini unataka Diamond apost au aende ktk mazishi ya Ruge.
Shangaa wewe...Ukimwadithia mtu mambo yanayotokea bongo anaweza asiamini! ujinga ujinga tu
 
Mpoto ni mnafiki alijifanya mkenya baada ya kupewa pesa awawakilishe kwenye lugha ya kiswahili lakini unamuona ikulu akiimba uzalendo
 
Wanamtafutia kiki zisizo na maana,sioni faida ya yeye Diamond kuwepo pale wakati hajayaweka sawa na Baba yake..
 
Bila kujali ugomvi wao ni nini ila Ruge ana mchango (roughly 80%) kwenye mafanikio ya Diamond..Alimshape,baadhi ya nyimbo kama Mawazo,nitarejea n.k alichangia mawazo katika kuandika..Show kubwa ya kwanza ya Diamond pale mlimani city (Diamonds are forever) organizer alikuwa Ruge,mchango mkubwa aliutoa Ruge,venue Ruge n.k, Zari all White Party ya Dar lilikuwa wazo la Ruge na ndiyo alikuwa big contributor (Sasa hapa dogo akataka wagawane pasu kwa pasu wakati aliyefanya investiment kubwa ni Ruge.
Dogo kwenye fiesta akawa anataka alipwe ten million (which is not bad kutokana na hadhi yake) but kiuhalisia angelipwa yeye peke yake 10 mil hapo bado wasanii wengine hawajalipwa,bado per diems zao,transport,bima,maandalizi ya venue,jukwaa na security,matangazo n.k na na wenye show wapate faida si ni hatari hiyo?Angeweza kuchukua 10mil kwa baadhi ya mikoa ila huwezi kukomaa kulipwa 10mil Musoma au Sumbawanga wakati entrance fee yao tu huwa inashushwa..may be kwa Dsm,Mwanza na Chuga angweza kudemand hiyo..na hiyo ndo source ya Ugomvi wao Dai akaona kama vile Ruge anambania wakati macollabo makubwa makubwa ya nje Ruge ndo alikuwa anamconnect na baadhi Ay...#okbye

kuhusu hizo costs ambazo Ruge alikuwa anaingia kuandaa Fiesta, na dogo hakubaliani na malipo , mara nyingi ni vizuri katika negotiations kama hizo ku open the books na kuonyeshana kila kitu.

Ruge alishawahi kumuonyesha dogo financial statements na ma risiti yote ya insurance sijui wanamuziki wengine wanalipwaje na ulinzi na vyombo na KILA KITU?
 
Pumbavu sana mpuuzi huyu asiyevaa viatu.....
 
Back
Top Bottom