Wala siyo masharti ni upekee ambao kachagua,
Wasanii wengi kila mmoja anapenda kuwa na
Brandy (Chata) ya peke yake
Mfano Kiba ana sauti yake hivi ambapo hakuna msanii yeyote aliiga.
Young dee pia ana kicheko fulani ambacho ni cha pekee,na kama akiiga mwingine sidhani kama atapendeza .
Young lunya ana rap fulani na flow ya kubana pua ambayo inamvutia yeye tu
Harmonize naye kanuni kikohozi japo aliiga kwa Tory lanez yule mcanada ila anavutia vizuri sana kwa staili ya pekee.
Kwa hiyo unapomzungumzia Mrisho mpoto ambaye kwanza stahili ya kuwasilisha tungo zake (siyo nyimbo) ni ya tofauti na wasanii wengine,lakini pia akabuni stahili ya kutembea peku hasa kwenye hafla na shughuli maalum ,hii imempa umaarufu wa kuwa trending kwa kipindi kirefu