Mrisho Mpoto ana ugomvi gani na viatu?

Mrisho Mpoto ana ugomvi gani na viatu?

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Ndugu yetu mrisho mpoto viatu vilimkosea nini?

D0717D4F-4040-45F5-9CAB-3BE183AB2CCD.jpeg
 
Wala siyo masharti ni upekee ambao kachagua,

Wasanii wengi kila mmoja anapenda kuwa na
Brandy (Chata) ya peke yake

Mfano Kiba ana sauti yake hivi ambapo hakuna msanii yeyote aliiga.

Young dee pia ana kicheko fulani ambacho ni cha pekee,na kama akiiga mwingine sidhani kama atapendeza .

Young lunya ana rap fulani na flow ya kubana pua ambayo inamvutia yeye tu

Harmonize naye kanuni kikohozi japo aliiga kwa Tory lanez yule mcanada ila anavutia vizuri sana kwa staili ya pekee.

Kwa hiyo unapomzungumzia Mrisho mpoto ambaye kwanza stahili ya kuwasilisha tungo zake (siyo nyimbo) ni ya tofauti na wasanii wengine,lakini pia akabuni stahili ya kutembea peku hasa kwenye hafla na shughuli maalum ,hii imempa umaarufu wa kuwa trending kwa kipindi kirefu
 
Spiritually, Popote ambapo nyayo za miguu yako itakapo kanyaga,nimekupa wewe. Huyu anataka mamlaka kwenye eneo analoenda/kanyaga.
 
Wala siyo masharti ni upekee ambao kachagua,

Wasanii wengi kila mmoja anapenda kuwa na
Brandy (Chata) ya peke yake

Mfano Kiba ana sauti yake hivi ambapo hakuna msanii yeyote aliiga.

Young dee pia ana kicheko fulani ambacho ni cha pekee,na kama akiiga mwingine sidhani kama atapendeza .

Young lunya ana rap fulani na flow ya kubana pua ambayo inamvutia yeye tu

Harmonize naye kanuni kikohozi japo aliiga kwa Tory lanez yule mcanada ila anavutia vizuri sana kwa staili ya pekee.

Kwa hiyo unapomzungumzia Mrisho mpoto ambaye kwanza stahili ya kuwasilisha tungo zake (siyo nyimbo) ni ya tofauti na wasanii wengine,lakini pia akabuni stahili ya kutembea peku hasa kwenye hafla na shughuli maalum ,hii imempa umaarufu wa kuwa trending kwa kipindi kirefu
Mjinga tu
 
Hata Kama ndio kutengeneza brand ya Pekee ila Mrisho amepitiliza Sana.
Mtu umepiga pamba Kali afu chini unatembea peku jamani🤔
 
Kila mtu anaamua kutoka kwa njia yake.

Kama vile Diamond alivyoamua kuwa kitombile na Harmonize mvuta bangi, na huyu kaamua atembee peku ili iwe utambulisho wake wa watu kumuongelea.

Angekuwa anapiga lakuchumpa usingemuanzishia uzi. Upeku wake umemfanya umuongelee.
 
Back
Top Bottom