Mrisho Mpoto ana ugomvi gani na viatu?

Huwa nashangaa kampeni za afya anazofanya huwa wanampaje mtu anaetembea peku yaani kuna siku nilimwona temeke regional referral hospital kwenye kampeni zake akiwa peku, nilibaki na mshangao.
 
Huyu mtu n msanii tu kama kweli havai viatu kabisa mbona miguu inaonekana milaini hivyo!!atakuwa huwa havai kwenye matukio tu au kwenye halaiki ya watu
 
Mchafu tu huyu braza!
Mzee wa hovyo!

Imagine huna viatu unaenda chooni kukata gogo, ptuuuuuuu! Hana anachoifundisha jamii, hovyo kabisa Hilo na sura lake Zito kama blanket
 
Mchafu tu huyu braza!
Mzee wa hovyo!

Imagine huna viatu unaenda chooni kukata gogo, ptuuuuuuu! Hana anachoifundisha jamii, hovyo kabisa Hilo na sura lake Zito kama blanket

Choo kwenda na viatu inategemea mzee, kama unabeba ndoo ukienda kuoga hapo kweli lazima uvae ndala.
 
Laiti mngejua umuhimu wa kutembea peku wala msinge mtukana mrisho mpoto.
Binafsi kila jumamosi na jumapili natembea peku, wafrika tuna vitu vyetu vingi vya asili ambavyo ukifanya saivi unaonekana kama mchawi.
 
Kuna wengine hawavai chupi/boksa.
Mrisho Mpoto akiona camera anavua viatu chap nimeshamuona hoteli fulani kavaa viatu safi kabisa.
 
Hakuna mtembea peku hapo! Zuga tu hizo. Mtembea peku peku awe na miguu milaini hivyo kama tako la mtoto?
 
Kwenye nyimbo ya Sizonje Banana Zoro behind the scene alisema Mrisho Mpoto kwa bahati mbaya alikanyaga mwiba.

Banana anasema Mrisho Mpoto alilalamika sana yaani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…