Mnhamba jr
Senior Member
- Mar 10, 2023
- 164
- 448
Huwa nashangaa kampeni za afya anazofanya huwa wanampaje mtu anaetembea peku yaani kuna siku nilimwona temeke regional referral hospital kwenye kampeni zake akiwa peku, nilibaki na mshangao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchafu tu huyu braza!
Mzee wa hovyo!
Imagine huna viatu unaenda chooni kukata gogo, ptuuuuuuu! Hana anachoifundisha jamii, hovyo kabisa Hilo na sura lake Zito kama blanket
Huo ni uchafu.
Huwezi kuingia chooni peku
Yeye anaingia vyoo vipi?Vyoo vinatofautiana mkuu. Kama unaingia chooni huku umebabe ndoo, kweli huwezi kuingia bila viatu
Mtu asiyevaa viatu miguu yake iwe misafi hivyo
Mbuyi, Mkonikoni.Huyu ni muumini wa mizimu masharti ni kitu Cha kawaida
Cha kulengaChoo kwenda na viatu inategemea mzee, kama unabeba ndoo ukienda kuoga hapo kweli lazima uvae ndala.