Mrisho Mpoto baada ya kupewa vidonge vyake aamua kuvaa viatu

Huyu jamaa nyimbo zake nazikubar zinaujumbe mzr, ila sasa maelezo na misemo yake huwa kama amepitia kale ka mti.....

Maana we mtu huvai viatu, au mganga wake kumwambia ck akivaa viatu atapotea kwenye fani

Mpotoo punguza ujuaji, tambua pia tupo karne ya 21.
 
Hivi unafahamu kwamba maelezo yako hayajaeleweka ?
Unawahi wapi?
Kwanini usiandike kitu watu wakakuelewa badala ya kukurupuka namna hiii
ona sasa aibu gani hii unaleta hapa

haa haa haaa ushawah kuwa mwalim nn?
 
Huyu hafai kuwa mbunge maana hana msimamo juu ya maamuzi yake anapelekwa na fikra za watu. Halaf hii tabia imetoka wapi maana siku hiz?, wasanii kibao wanaibuka na nia za kugombea ubunge mara udiwani usanii usanii kila kona
 
mngoni kutembea peku?? alidhalilisha wakazi wa ruvuma
 
Huyu mzee Kuna siku nilisema atavaa nyasi Tu afunike mbele Na nyuma kwa jinsi anavyopenda kudumisha utamaduni.
 
Sihitaji kuishughulisha akili yangu kumjadili mtu kama huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…