Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
tatizo ni hiki kizazi hatutaki kuaminishwa vitu vya hovyo hovyo
Mkuu walengwa wanaamini hayo wanayoambiwa, ndo maana watu wanaendelea kujaza viwanja kwenye fiesta.
Wateja wao nao ni wa hovyo hovyo