Mrisho Mpoto: Mr. Blue ndiye msanii bora Tanzania

tatizo ni hiki kizazi hatutaki kuaminishwa vitu vya hovyo hovyo

Mkuu walengwa wanaamini hayo wanayoambiwa, ndo maana watu wanaendelea kujaza viwanja kwenye fiesta.

Wateja wao nao ni wa hovyo hovyo
 
Mr. Blue siwezi kusema kwamba ni the best, but no doubt he is one of the best toka bongofleva ianze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…