Mrisho Mpoto nenda na wakati

Tatizo linaweza kuwa ni muuzaji wa nyumba. Hataki mambo ya bank. Kuna wakati niliuza kijishamba changu. Mpemba alikataa katakata kufanya mauzo tukiwa Bank. Ilibidi kuchukua risk kupewa cash na kizikimbiza bank!

Mkuu nadhani hiyo pesa hukuifanyia jambo la maana.
 
Mkuu nadhani hiyo pesa hukuifanyia jambo la maana.

Ilifanyiwa mambo ya maana. Tulipoipata tukakimbia bank na kuiweka. Baada ya kama miezi sita ilisaidia sana kufanya shughuli ya maana tu.
 
Me nimeelewa tofauti hii stori!! aisee Kuna njia nyingi za kufikisha ''umbea'' mji huu, duuh !!

Haya tumeshajua kwamba Anko anaenda kununua Nyumba..

Nimejifunza kitu anyway...

Pole na hongera...!!!
 
Huwa anajifananisha na Ricardo Maria yule faza mwenye radio Ukweli ya Morogoro kutembea peku hadi watanzania wote wavae viatu ndio nae atavaa

Ha ha haaaa! Fr. Peku peku, I like so much that man of God.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mpoto ni mtamaduni bado hajaingia digitali. Bado anabeba pesa kama karanga zitamcost!
 
Kwa akili yako wewe unamuona Mpoto mjanja au kwa kuwa naye siku hizi anajiona celeb.
 
na pastor aliyepewa 250 mil cash ukumbini unamshauri nini?nafikiri zake ni nyingi kushinda za mpoto.
 
Namkubali mpoto coz amechagua kuwa vile....na anaamin kwa analolifanya....kuhusu kubeba hela kwa bznes no comment

Maisha yana siri kubwa sana, ukute kuna kitu nyuma ya pazia.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…