Namwangalia Mrisho Mpoto hapa tbc anajaribu kuzungumzia kwanini yupo kwenye fursa ya cloudsfm. Anasema yeye ni kijana na anahisi ana kila sifa ya kuwepo kwenye ttimu ya fursa.
Kuna kipindi nlikutana na mpoto kipindi akiwa hajatoka nakumbuka alikuwa na single moja ya "salamu zangu kwako" akawa anaponda cloudsfm ila saasa anajidai ni rafiki zake.
Anaziungumzia fursa eti hata wasomi hawana ajiri kwa sbabu hawajui kuangalia fursa, anasema hii nchi imejaa fursa, usiseme huna hela sema huna akili ya kutafuta hela.
Vipi kuhusu Anaconda eti aachie kijiti,WAFU anawajua au anawasikia huyu?uyo alilipwa pesa kwenda kuiwakilisha Kenya kwenye mashindano ya ushairi na alienda kama Mkenya na akautangaza utalii wa Kenya ikiwemo mlima kilimanjaro .
kuhusu kuwa kwenye fursa ni vizuri kuelimisha raia kuhusu hizo fursa apo sina usemi
Mzee wa 0713 uyo..nux mjomba uyu...ana2mia ayo mavaz kuficha ufuska wake mjomba
Mzee wa 0713 uyo..nux mjomba uyu...ana2mia ayo mavaz kuficha ufuska wake mjomba
jamaa mwepesi sana likishafika swala la pesa mbelea yake!
alishajiiishia siku nying!
kabaki nywele tu na tabasamu kama dume la mamba!
mmh! kweli huyo ni mzee wa fursauyo alilipwa pesa kwenda kuiwakilisha Kenya kwenye mashindano ya ushairi na alienda kama Mkenya na akautangaza utalii wa Kenya ikiwemo mlima kilimanjaro .
kuhusu kuwa kwenye fursa ni vizuri kuelimisha raia kuhusu hizo fursa apo sina usemi
Tangia jamaa anaanza nilijua ni hypocrate man ila nilimpa mda mchache sasa dah njaa mbaya sana hasa ukiendekeza.