Mrisho Mpoto ni mnafiq watu hawamjui tu

Mrisho Mpoto ni mnafiq watu hawamjui tu

sixgates

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
3,979
Reaction score
1,665
Namwangalia Mrisho Mpoto hapa tbc anajaribu kuzungumzia kwanini yupo kwenye fursa ya cloudsfm. Anasema yeye ni kijana na anahisi ana kila sifa ya kuwepo kwenye ttimu ya fursa.

Kuna kipindi nlikutana na mpoto kipindi akiwa hajatoka nakumbuka alikuwa na single moja ya "salamu zangu kwako" akawa anaponda cloudsfm ila saasa anajidai ni rafiki zake.

Anaziungumzia fursa eti hata wasomi hawana ajiri kwa sbabu hawajui kuangalia fursa, anasema hii nchi imejaa fursa, usiseme huna hela sema huna akili ya kutafuta hela.
 
Binafsi nilishamtoa kwenye ule "u-mjomba mjomba",na nyimbo zake kwangu hazina maana tena ,bonge la mnafki,ananunulika kirahisi,yupo tayari kuitangazia dunia kwamba mlima kilimanjaro upo kenya ilimradi mpunga upo mezani,na mifano mingi kwa niaba ya RU_GAY a.k.a KAHABA
 
uyo alilipwa pesa kwenda kuiwakilisha Kenya kwenye mashindano ya ushairi na alienda kama Mkenya na akautangaza utalii wa Kenya ikiwemo mlima kilimanjaro .

kuhusu kuwa kwenye fursa ni vizuri kuelimisha raia kuhusu hizo fursa apo sina usemi
 
Vipi kuhusu Anaconda eti aachie kijiti,WAFU anawajua au anawasikia huyu?
 
Huyu ndo aliimba "mjomba yeye...,Adela ." Huku akiiponda serikali na raisi wake kuwa nchi MASIKINI na UTAWALA MBOVU huku akipinga sana SERA YA UWEKEZAJI(pale anaposema timua wazungu wote,katoa misemo mingi sana kama life is not rehearsal) ,sasa eti na yeye amegeuka anasema watu hawazioni fursa
What a shame waafrika hatutaacha hii tabia ya u coward milele
 
jamaa namchukia sana..

nafurah sahv amepoteza mashabk weng,baada ya kujiingza kchwakchwa kwny bfu ya CLOUDS na JIDE...
 
Mzee wa 0713 uyo..nux mjomba uyu...ana2mia ayo mavaz kuficha ufuska wake mjomba

Hata mi toka aseme m.kilimanjaro upo Kenya sina hamu nae,hizo rasi hajapata mdhungu maana nae ana fursaa
 
uyo alilipwa pesa kwenda kuiwakilisha Kenya kwenye mashindano ya ushairi na alienda kama Mkenya na akautangaza utalii wa Kenya ikiwemo mlima kilimanjaro .

kuhusu kuwa kwenye fursa ni vizuri kuelimisha raia kuhusu hizo fursa apo sina usemi
mmh! kweli huyo ni mzee wa fursa
 
mnafk sana ckuiz kanyamazishwa kamak anatangaza fistula na malaria! people are lacking patriotic feelings
 
Tangia jamaa anaanza nilijua ni hypocrate man ila nilimpa mda mchache sasa dah njaa mbaya sana hasa ukiendekeza.
 
Huu nao ni sehemu ya unafik pia!

Eti kitu kimetokea ndo basi speakers and much knowers come up and say bullshits!

Back
Top Bottom