Mzee wa 0713 uyo..nux mjomba uyu...ana2mia ayo mavaz kuficha ufuska wake mjomba
jamaa mwepesi sana likishafika swala la pesa mbelea yake!
alishajiiishia siku nying!
kabaki nywele tu na tabasamu kama dume la mamba!
Namwangalia Mrisho Mpoto hapa tbc anajaribu kuzungumzia kwanini yupo kwenye fursa ya cloudsfm. Anasema yeye ni kijana na anahisi ana kila sifa ya kuwepo kwenye ttimu ya fursa.
Kuna kipindi nlikutana na mpoto kipindi akiwa hajatoka nakumbuka alikuwa na single moja ya "salamu zangu kwako" akawa anaponda cloudsfm ila saasa anajidai ni rafiki zake.
Anaziungumzia fursa eti hata wasomi hawana ajiri kwa sbabu hawajui kuangalia fursa, anasema hii nchi imejaa fursa, usiseme huna hela sema huna akili ya kutafuta hela.
kaka ya kweli hayo..hebu funguka kidogo..ili tumbadirishr jina kutoka mjomba hadi mgomba
Namwangalia Mrisho Mpoto hapa tbc anajaribu kuzungumzia kwanini yupo kwenye fursa ya cloudsfm. Anasema yeye ni kijana na anahisi ana kila sifa ya kuwepo kwenye ttimu ya fursa.
Kuna kipindi nlikutana na mpoto kipindi akiwa hajatoka nakumbuka alikuwa na single moja ya "salamu zangu kwako" akawa anaponda cloudsfm ila saasa anajidai ni rafiki zake.
Anaziungumzia fursa eti hata wasomi hawana ajiri kwa sbabu hawajui kuangalia fursa, anasema hii nchi imejaa fursa, usiseme huna hela sema huna akili ya kutafuta hela.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]kwanza mchafu apo tu ndo anankela mengine ntayasema badae.
Mrisho naye so failure kama Wengine. Atasema nini? Wasanii wana njaa xana.Namwangalia Mrisho Mpoto hapa tbc anajaribu kuzungumzia kwanini yupo kwenye fursa ya cloudsfm. Anasema yeye ni kijana na anahisi ana kila sifa ya kuwepo kwenye ttimu ya fursa.
Kuna kipindi nlikutana na mpoto kipindi akiwa hajatoka nakumbuka alikuwa na single moja ya "salamu zangu kwako" akawa anaponda cloudsfm ila saasa anajidai ni rafiki zake.
Anaziungumzia fursa eti hata wasomi hawana ajiri kwa sbabu hawajui kuangalia fursa, anasema hii nchi imejaa fursa, usiseme huna hela sema huna akili ya kutafuta hela.
Alikupitia nini? Maana ulaji tigo ni tendo la falagha sasa we umejuaje? Sio lazima kila mtu awe CHADEMA kika mtu ana option yake.Mi nilikuwa na imani na upinzani ila naona ni wale wale tu maana nimejaribu kuchunguza wabunge wa CHADEMA wamefanya nini cha ajabu kwenye majimbo yao nimegundua Zero tu.Mzee wa 0713 uyo..nux mjomba uyu...ana2mia ayo mavaz kuficha ufuska wake mjomba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mrisho mpoto ni mchumia tumbo tu...
Mwanzo alikuja vizuri sa hizi keshajua utamu wa pesa
Tupo wengi...Silipendi hili lijamaa basi tu
Siku akisema usilolipenda usije kumgeuka tu ukamwita yale majina yenu kadha wa kadhaaMsanii mkweli ni ney wa mitego tu!