Mrisho Mpoto ni mnafiq watu hawamjui tu

Mrisho Mpoto ni mnafiq watu hawamjui tu

Namwangalia Mrisho Mpoto hapa tbc anajaribu kuzungumzia kwanini yupo kwenye fursa ya cloudsfm. Anasema yeye ni kijana na anahisi ana kila sifa ya kuwepo kwenye ttimu ya fursa.

Kuna kipindi nlikutana na mpoto kipindi akiwa hajatoka nakumbuka alikuwa na single moja ya "salamu zangu kwako" akawa anaponda cloudsfm ila saasa anajidai ni rafiki zake.

Anaziungumzia fursa eti hata wasomi hawana ajiri kwa sbabu hawajui kuangalia fursa, anasema hii nchi imejaa fursa, usiseme huna hela sema huna akili ya kutafuta hela.

salamu kwako mkuu
 
Ule wimbo haukuwa wake alipewa shavu tu,ulikua wa Irine Sanga,wimbo ulipokuwa maarufu Mpoto akatoa wake wa "Mjomba"
 
aisee nimesoma huu uzi nikalinganisha na ishu ya bashite, jinsi jamaa anavyosutwa huko insta..

Alisimama kidete kweli kumtetea makonda sasa hivi hana la kusema.
 
Namwangalia Mrisho Mpoto hapa tbc anajaribu kuzungumzia kwanini yupo kwenye fursa ya cloudsfm. Anasema yeye ni kijana na anahisi ana kila sifa ya kuwepo kwenye ttimu ya fursa.

Kuna kipindi nlikutana na mpoto kipindi akiwa hajatoka nakumbuka alikuwa na single moja ya "salamu zangu kwako" akawa anaponda cloudsfm ila saasa anajidai ni rafiki zake.

Anaziungumzia fursa eti hata wasomi hawana ajiri kwa sbabu hawajui kuangalia fursa, anasema hii nchi imejaa fursa, usiseme huna hela sema huna akili ya kutafuta hela.
Mrisho naye so failure kama Wengine. Atasema nini? Wasanii wana njaa xana.
 
Mzee wa 0713 uyo..nux mjomba uyu...ana2mia ayo mavaz kuficha ufuska wake mjomba
Alikupitia nini? Maana ulaji tigo ni tendo la falagha sasa we umejuaje? Sio lazima kila mtu awe CHADEMA kika mtu ana option yake.Mi nilikuwa na imani na upinzani ila naona ni wale wale tu maana nimejaribu kuchunguza wabunge wa CHADEMA wamefanya nini cha ajabu kwenye majimbo yao nimegundua Zero tu.
 
Back
Top Bottom