Mkuu kwenye mpunga ndo penye udhaifu wetu binadamu, cjui kama unakumbuka vigezo vilivotumika kumpokea na kumsimika ugombea lowasa badala ya slaajamaa mwepesi sana likishafika swala la pesa mbelea yake!
alishajiiishia siku nying!
kabaki nywele tu na tabasamu kama dume la mamba!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Binafsi nilishamtoa kwenye ule "u-mjomba mjomba",na nyimbo zake kwangu hazina maana tena ,bonge la mnafki,ananunulika kirahisi,yupo tayari kuitangazia dunia kwamba mlima kilimanjaro upo kenya ilimradi mpunga upo mezani,na mifano mingi kwa niaba ya RU_GAY a.k.a KAHABA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna anayoyasema siyapendi ila sio uongo!Siku akisema usilolipenda usije kumgeuka tu ukamwita yale majina yenu kadha wa kadhaa
Mmmmmh aibuuuuuyo alilipwa pesa kwenda kuiwakilisha Kenya kwenye mashindano ya ushairi na alienda kama Mkenya na akautangaza utalii wa Kenya ikiwemo mlima kilimanjaro .
kuhusu kuwa kwenye fursa ni vizuri kuelimisha raia kuhusu hizo fursa apo sina usemi
Bado unawaona Clouds hawafai ??Namwangalia Mrisho Mpoto hapa tbc anajaribu kuzungumzia kwanini yupo kwenye fursa ya cloudsfm. Anasema yeye ni kijana na anahisi ana kila sifa ya kuwepo kwenye ttimu ya fursa.
Kuna kipindi nlikutana na mpoto kipindi akiwa hajatoka nakumbuka alikuwa na single moja ya "salamu zangu kwako" akawa anaponda cloudsfm ila saasa anajidai ni rafiki zake.
Anaziungumzia fursa eti hata wasomi hawana ajiri kwa sbabu hawajui kuangalia fursa, anasema hii nchi imejaa fursa, usiseme huna hela sema huna akili ya kutafuta hela.
boko neneSilipendi hili lijamaa basi tu
aazime miguu ya harmorapa 2 mkuu mana yule ndo Usain Bolt mpya.Mrisho mpoto kama haya ninayoyasikia ni ya kweli njoo nikutengenezee maji ya sukari upate nguvu ya kukimbia
Kweli mkuu au umetengeneza ? Kama ni kweli basi jamaa lifala hiliuyo alilipwa pesa kwenda kuiwakilisha Kenya kwenye mashindano ya ushairi na alienda kama Mkenya na akautangaza utalii wa Kenya ikiwemo mlima kilimanjaro .
kuhusu kuwa kwenye fursa ni vizuri kuelimisha raia kuhusu hizo fursa apo sina usemi
ana pumuliwa?ni ukweli jamaa ni mchicha mwiba
Huyo kwenye avatar yako angekua na akili kma zako sijui tu, maana story za CDM cjui zimeingia vp hapoAlikupitia nini? Maana ulaji tigo ni tendo la falagha sasa we umejuaje? Sio lazima kila mtu awe CHADEMA kika mtu ana option yake.Mi nilikuwa na imani na upinzani ila naona ni wale wale tu maana nimejaribu kuchunguza wabunge wa CHADEMA wamefanya nini cha ajabu kwenye majimbo yao nimegundua Zero tu.
Aisee hii kali nilikuwa siijui kweli jf ni balaauyo alilipwa pesa kwenda kuiwakilisha Kenya kwenye mashindano ya ushairi na alienda kama Mkenya na akautangaza utalii wa Kenya ikiwemo mlima kilimanjaro .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]jamaa mwepesi sana likishafika swala la pesa mbelea yake!
alishajiiishia siku nying!
kabaki nywele tu na tabasamu kama dume la mamba!
Rasta gani anakata nyama kama fisi!Na marasi yakeee