Mrisho Mpoto ni mnafiq watu hawamjui tu

Mrisho Mpoto ni mnafiq watu hawamjui tu

jamaa mwepesi sana likishafika swala la pesa mbelea yake!
alishajiiishia siku nying!
kabaki nywele tu na tabasamu kama dume la mamba!
Mkuu kwenye mpunga ndo penye udhaifu wetu binadamu, cjui kama unakumbuka vigezo vilivotumika kumpokea na kumsimika ugombea lowasa badala ya slaa
 
Binafsi nilishamtoa kwenye ule "u-mjomba mjomba",na nyimbo zake kwangu hazina maana tena ,bonge la mnafki,ananunulika kirahisi,yupo tayari kuitangazia dunia kwamba mlima kilimanjaro upo kenya ilimradi mpunga upo mezani,na mifano mingi kwa niaba ya RU_GAY a.k.a KAHABA
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Siku akisema usilolipenda usije kumgeuka tu ukamwita yale majina yenu kadha wa kadhaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna anayoyasema siyapendi ila sio uongo!
 
uyo alilipwa pesa kwenda kuiwakilisha Kenya kwenye mashindano ya ushairi na alienda kama Mkenya na akautangaza utalii wa Kenya ikiwemo mlima kilimanjaro .

kuhusu kuwa kwenye fursa ni vizuri kuelimisha raia kuhusu hizo fursa apo sina usemi
Mmmmmh aibuuuu
 
Namwangalia Mrisho Mpoto hapa tbc anajaribu kuzungumzia kwanini yupo kwenye fursa ya cloudsfm. Anasema yeye ni kijana na anahisi ana kila sifa ya kuwepo kwenye ttimu ya fursa.

Kuna kipindi nlikutana na mpoto kipindi akiwa hajatoka nakumbuka alikuwa na single moja ya "salamu zangu kwako" akawa anaponda cloudsfm ila saasa anajidai ni rafiki zake.

Anaziungumzia fursa eti hata wasomi hawana ajiri kwa sbabu hawajui kuangalia fursa, anasema hii nchi imejaa fursa, usiseme huna hela sema huna akili ya kutafuta hela.
Bado unawaona Clouds hawafai ??

[HASHTAG]#Vijana[/HASHTAG] mnaburuzwa na mihemko ya kisiasa mpaka mnatia simanzi, mnatukana na kukejeli kila mtu - Mbowe kawaharibu kabisa akili - Nyang'anyang'a
 
Kitendo cha yeye kumsifia sana Magu na kumtungia mashahiri kilinifanya nimtoe kwenye list yangu.
 
uyo alilipwa pesa kwenda kuiwakilisha Kenya kwenye mashindano ya ushairi na alienda kama Mkenya na akautangaza utalii wa Kenya ikiwemo mlima kilimanjaro .

kuhusu kuwa kwenye fursa ni vizuri kuelimisha raia kuhusu hizo fursa apo sina usemi
Kweli mkuu au umetengeneza ? Kama ni kweli basi jamaa lifala hili
 
Kweli Mpoto ni mchumia tumbo na yupo sharp kuchangamkia fursa maana alishasoma upepo wa viongozi wa awamu hii bila kumsahau mtukufu rais + bashite ni wapenda sifa akamtungia rais ule wimbo wa sizonje basi tangu sikuile kila press conference au tamasha lolote la serikali Mpoto anakula shavu
 
Alikupitia nini? Maana ulaji tigo ni tendo la falagha sasa we umejuaje? Sio lazima kila mtu awe CHADEMA kika mtu ana option yake.Mi nilikuwa na imani na upinzani ila naona ni wale wale tu maana nimejaribu kuchunguza wabunge wa CHADEMA wamefanya nini cha ajabu kwenye majimbo yao nimegundua Zero tu.
Huyo kwenye avatar yako angekua na akili kma zako sijui tu, maana story za CDM cjui zimeingia vp hapo
 
Duuuh ila hawezi kuwazidi wale waliommiss JK.



NA MAGREAT THINKER WA JF waliomuita mh.NAPE SHUJAA
 
uyo alilipwa pesa kwenda kuiwakilisha Kenya kwenye mashindano ya ushairi na alienda kama Mkenya na akautangaza utalii wa Kenya ikiwemo mlima kilimanjaro .
Aisee hii kali nilikuwa siijui kweli jf ni balaa
 
Back
Top Bottom