Msanii wa muziki wa asili, Mrisho Mpoto 'Mjomba', ameibuka na kusema hana nia ya kugombea Ubunge kama alivyosema ila aliamua kuwabipu wanasiasa.
Akizungumza wiki hii, mjomba alisema alitangaza kuingia kwenye vita vya ubunge ila alikuwa akitania na hakuwa na ukwel wowote ule! Swal la msingi Mpoto ulikua unambipu nani? Au ulikua huna hoja?
Chanzo: Gazeti la Bingwa