Mrisho Mpoto: Sigombei Ubunge

Mrisho Mpoto: Sigombei Ubunge

lubu-kato

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
492
Reaction score
101
Msanii wa muziki wa asili, Mrisho Mpoto 'Mjomba', ameibuka na kusema hana nia ya kugombea Ubunge kama alivyosema ila aliamua kuwabipu wanasiasa.

Akizungumza wiki hii, mjomba alisema alitangaza kuingia kwenye vita vya ubunge ila alikuwa akitania na hakuwa na ukwel wowote ule! Swal la msingi Mpoto ulikua unambipu nani? Au ulikua huna hoja?

Chanzo: Gazeti la Bingwa
 
Angekuwa mbunge wa kwanza kupekua bungeni
 
Huyu mtu ilisemekana atamvaa Mnyika pale Ubungo. Baada ya Zitto kumkimbia Mnyika pale Ubungo na Nape kukimbilia kule Mtama, ikaonekana mbele ya macho ya wanaccm Mpoto atakuwa mwokozi wao... Oooh naye Maji yamezidi unga..!! Hakika Mnyika hana mpinzani pale Ubungo mpaka wameamua kugawanya jimbo..!!

Hii inatakiwa iende kule Siasani Moderator.

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:
Keshakula pesa huyooo!!
Siasa za Bongo majitaka ukitaka kupiga mbesa tangaza nia!!!
Najiandaa next wk nataka niwavae akina Shigongo na mwenzake.... naamini kitaeleweka tu!!!
 
hajitambui huyo...hajui anataka nn ktk siasa...maana anaimba nyimbo za kuianika serikali na bado anataka kugombea ubunge kupitia ccm huu ni uchizi wa hali ya juu
 
Mheshimiwa mpoto kasema anatania, na mheshimiwa sepetu nae labda anatania lol

Nlipata mshtuko hapa nikajua Rasta man nae mchicha mwiba maana nilikua na pongezi nyingi kwa mende wake,ivi Sepetu yuko serious au analisogeza jina jirani na wazee kama soko jipya?
 
Nlipata mshtuko hapa nikajua Rasta man nae mchicha mwiba maana nilikua na pongezi nyingi kwa mende wake,ivi Sepetu yuko serious au analisogeza jina jirani na wazee kama soko jipya?
Mheshimiwa naona yupo sirias ila kafanya wrong target yani angemuwahi baba nanii, lazma angepata ukuu wa wilaya
 
haaahaaa baba nahiii hawezi kumpa ukuu wa wilaya maana kungekua na kelele nyingi ile mboga mpaka watoto wanakula ni aibu,ila watu wake wa marketing wako vizuri hata kama akikosa basi mpunga atavuta kwa wazee wengi tu wenye uchu
 
Back
Top Bottom