Mrisho Ngasa katika klabu yake mpya

MKURABITA

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
317
Reaction score
126
Nimefurahi kumuona kijana wetu Mrisho Ngasa katika klabu yake mpya ya Free State Stars ya Afrika Kusini mechi ya kwanza ya ligi kuu ya nchi hiyo. Namtakia kila la heri Ngasa.
 
Siku anaondoka aliondoka na mkewe mama nani sijui.... kumbe wamefika e?
 
Nimefurahi kumuona kijana wetu Mrisho Ngasa katika klabu yake mpya ya Free State Stars ya Afrika Kusini mechi ya kwanza ya ligi kuu ya nchi hiyo. Namtakia kila la heri Ngasa.

nilidhani unatueleza alichezaje namba ngapi waliheza na tim gani walipata matokeo gani-
 
Ni mechi ya kwanza ya ufunguzi wa league dk 24 sasa Free state wako nyuma kwa goli moja, wanacheza na Black Aces Ngasa akiwa ndani ya jezi no. 17 kiungo mshambuliaji.
 
channel gani hiyo mkuu au upo hapo south je amegusa mpira?
 
Ngasa amegusa mpira ila hakung'ara sana ili kuisaidia timu yake, wamepoteza mechi yao ya kwanza kwa gori moja na Ngasa alitolewa kipindi cha pili sababu kubwa ikiwa ni kadi ya njano aliyopata baada ya kucheza rafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…